Mazinge Kwa Uchungu Sana Awaripuwa Vijana Waliyo Ritadiswa Kwa Njaa Zao -

Sheikh Mazinge ametoa darasa kali na la kusisimua kufuatia wimbi la vijana wanaodaiwa kuacha misingi ya dini yao kwa tamaa za kidunia na njaa za muda mfupi. ⚠️ Hoja Kuu za Mazinge:

Mazinge ameonekana kuguswa sana, akisisitiza kuwa thamani ya Muislamu haiwezi kununuliwa kwa chakula. Sheikh Mazinge ametoa darasa kali na la kusisimua

#SheikhMazinge #Mawaidha #Imani #Vijana #Tanzania #Dini #Msimamo Sheikh Mazinge ametoa darasa kali na la kusisimua

Amewataka wazazi na walezi kuwa macho na hali za vijana wao kabla hawajanaswa na mitego ya wenye hila. 🔥 Nukuu ya Kusisimua: Sheikh Mazinge ametoa darasa kali na la kusisimua

"Huwezi kuuza Akhera yako kwa ajili ya shibe ya dakika mbili. Njaa ni mtihani, lakini kuritadi ni hasara ya milele!" 💭 Tupe Maoni Yako